Swali: 10- Kamilisha hadithi: "Tambueni kuwa hakika katika kiwiliwili kuna kipande cha nyama" na eleza baadhi ya faida zake?
- الباب / الفصل
- قسم الحديث
السؤال
س10: أكمل حديث «ألا إن في الجسد مضغة...»، واذكر بعض فوائده.
Swali: 10- Kamilisha hadithi: "Tambueni kuwa hakika katika kiwiliwili kuna kipande cha nyama" na eleza baadhi ya faida zake?
الجواب
ج:عن النعمان بن بشير رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُما قال: سمعت رسول الله صلى الله عليه وسلم يقول:
«ألا وإن في الجسد مضغة إذا صلحت صلح الجسد كله، وإذا فسدت فسد الجسد كله، ألا وهي القلب»
رواه البخاري ومسلم.
بعض فوائد الحديث:
- صلاح القلب فيه صلاح الظاهر والباطن.
- الاهتمام بصلاح القلب لأن به صلاح الإنسان.
Jawabu: Kutoka kwa Nuaim bin Bashiri Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, amesema: Nilimsikia Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake akisema:
"Tambueni kuwa hakika katika kiwiliwili kuna kipande cha nyama kitakapotengemaa mwili mzima unatengemaa, na kikiharibika mwili mzima una haribika, tambueni, kipande hicho ni moyo"
Ameipokea Bukhari na Muslim.
Faida zinazo patikana katika hadithi:
- Kutengemaa kwa moyo ndani yake kunapelekea kutengemaa kwa mtu nje na ndani.
- Kutilia umuhimu kurekebisha moyo, kwa sababu moyo ndiyo unaomfanya mtu atengemae.