Skip to content

Swali: 9- Kamilisha hadithi: "Hakuna ujanja wala kuwa na nguvu isipokuwa zinatoka kwa Mwenyezi Mungu" Na eleza baadhi ya faida zake.

الباب / الفصل
قسم الحديث

السؤال

س9: أكمل حديث «لا حول ولا قوة إلا بالله ...»، واذكر بعض فوائده.

Swali: 9- Kamilisha hadithi: "Hakuna ujanja wala kuwa na nguvu isipokuwa zinatoka kwa Mwenyezi Mungu" Na eleza baadhi ya faida zake.

الجواب

ج:عن أبي موسى رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ، قال رسول الله صلى الله عليه وسلم:

«لا حول ولا قوة إلا بالله كنز من كنوز الجنة»

رواه البخاري ومسلم.

من فوائد الحديث:

  1. فضل هذه الكلمة، وأنها كنز من كنوز الجنة.
  2. تبرُّؤُ العبد من حوله وقوته، واعتماده على الله تَعَالَى وحده.

Jawabu: Kutoka kwa Abuu Mussa Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, amesema Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake:

"Neno 'Laa haulaa walaa quwwata illaa billaah' Hakuna ujanja wala nguvu isipokuwa zinatoka kwa Mwenyezi Mungu, ni hazina miongoni mwa hazina za pepo"

Ameipokea Bukhari na Muslim.

Faida zinazo patikana katika hadithi:

  1. Ubora wa neno hili, nakwamba neno hili ni hazina miongoni mwa hazina za pepo.
  2. Linamuweka mbali mja na ujanja wake na nguvu zake, na kutegemea kwake kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu peke yake.