Skip to content

Swali: 12- Kamilisha hadithi: "Muumini si msemaji wa watu vibaya, wala mtoa laana" Na baadhi ya faida zake.

الباب / الفصل
قسم الحديث

السؤال

س12: أكمل حديث «ليس المؤمن بالطعان، ولا اللعان ...»، وبعض فوائده.

Swali: 12- Kamilisha hadithi: "Muumini si msemaji wa watu vibaya, wala mtoa laana" Na baadhi ya faida zake.

الجواب

ج:عن عبد الله بن مسعود رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم:

«ليس المؤمن بالطعان، ولا اللعان، ولا الفاحش، ولا البذيء»

رواه الترمذي.

من فوائد الحديث:

  • النهي عن كل كلام باطل وقبيح.
  • أن ذلك صفة المؤمن في لسانه.

Jawabu: Kutoka kwa Abdilah bin Masoud Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, Amesema: Amesema Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake:

"Muumini si msemaji watu vibaya, wala mtoaji wa laana, wala muovu, wala mwenye kauli chafu"

Kaipokea Imamu Tirmidhiy

Faida zinazo patikana katika hadithi:

  1. Katazo la maneno yote ya batili na machafu.

-Na yakwamba hiyo ndiyo sifa ya muumini katika ulimi wake.