Swali: 11- kamilisha hadithi: "Yatakayekuwa maneno yake ya mwisho duniani ni: Laa ilaaha illa llaah- Hakuna Mola anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu" Na eleza baadhi ya faida zake.
- الباب / الفصل
- قسم الحديث
السؤال
س11: أكمل حديث: «من كان آخر كلامه -من الدنيا- لا إله إلا الله..»، واذكر بعض فوائده.
Swali: 11- kamilisha hadithi: "Yatakayekuwa maneno yake ya mwisho duniani ni: Laa ilaaha illa llaah- Hakuna Mola anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu" Na eleza baadhi ya faida zake.
الجواب
ج:عن معاذ بن جبل رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم:
«من كان آخر كلامه: لا إله إلا الله؛ دخل الجنة»
رواه أبو داود.
بعض فوائد الحديث:
- فضل لا إله إلا الله، وأن العبد يدخل بها الجنة.
- وفضل من كان آخر كلامه من الدنيا لا إله إلا الله.
Jawabu: Kutoka kwa Muadh bin Jabal Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, Amesema: Amesema Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake:
"Yatakayekuwa maneno yake ya mwisho duniani ni: Laa ilaaha illa llaah- Hakuna Mola anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu ataingia Peponi".
Imepokelewa na Abuu Daud
Faida zinazo patikana katika hadithi:
- Ubora wa neno, Laa ilaaha illa llaahu, nakwamba mja ataingia peponi kwa neno hilo.
- Na ubora wa mtu ambaye yatakuwa maneno yake ya mwisho kutoka duniani ni Laa ilaaha illa llaahu.