Skip to content
Je, uliwahi kujiuliza: Ni nani aliyekuumba? Na ni kwa nini? Na ni nini kitakuwa baada ya kifo?

Je, uliwahi kujiuliza: Ni nani aliyekuumba? Na ni kwa nini? Na ni nini kitakuwa baada ya kifo?

Kitabu hiki kinahusu swali la uwepo na uumbaji, na kinathibitisha kwa akili uwepo wa muumbaji mwenye hekima kamilifu na Mkamilifu. Vile vile, kinaweka wazi kwamba lengo kuu la maisha ni kumuabudu Mwenyezi Mungu pekee, na kwamba Uislamu ndio Dini ya kweli iliyohifadhiwa. Inawaita watu kumuamini Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, Muhammadi na kufuata mafundisho yake, na inatahadharisha dhidi ya ushirikina. Vile vile, inatilia mkazo suala la kuulizwa juu ya matendo na kulipwa huko Akhera.

Lugha: lang_sw
Imeandaliwa na: Kamati ya Kielimu ya Jumuia ya Kuhudumia Maudhui za Kiislamu kwa Lugha Mbalimbali.
Toleo: 2.0

These files are generated automatically from the book's text; their layout may differ from the printed edition.

0%
Font size