Skip to content
Nani aliyeumba Dunia? na ni nani aliyeniumba? na kwa ajili gani?

Nani aliyeumba Dunia? na ni nani aliyeniumba? na kwa ajili gani?

Kitabu "Nani aliyeumba Dunia? na ni nani aliyeniumba, na kwa ajili gani? kinajadili asili ya uwepo wa Dunia na Mwanadam, kwa kutilia mkazo kuwa Dunia haijaja kwa kuzuka na kwa kuja bila uwepo wa aliyeileta, isipokuwa inamuumbaji aliye mkubwa ambaye ni Allah, ambaye ameweka kanuni za ndani zaidi zinazoongoza maisha na dunia, kitabu kinaweka wazi sifa za Allah na umuhimu wa kuamini mitume na vitabu vya mbinguni, na kinahimiza kuwa Uislamu ni dini ya kweli ambayo imekusanya ujumbe wa mitume, kinawaita watu katika imani na kwa ajili ya kuhakikisha utukufu wa kweli duniani na akhera.

Lugha: lang_sw
Imeandaliwa na: Kamati ya kielimu kwa usimamizi wa mambo ya kidini kwa msikiti mtukufu wa Makka na Madina
Toleo: 2.0

These files are generated automatically from the book's text; their layout may differ from the printed edition.

0%
Font size