Skip to content
Nani aliye umba Dunia? na ni nani aliye niumba mimi? na kwanini ameniumba?

Nani aliye umba Dunia? na ni nani aliye niumba mimi? na kwanini ameniumba?

Je mimi nipo katika njia sahihi? Nani aliyeumba mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake miongoni mwa viumbe vikubwa ambavyo havijulikani ukubwa wake ni wa kiasi gani? Ni nani aliyetengeneza mpangilio huu madhubuti ulio sawa katika mbingu na ardhi? Ni nani aliyemuumba mwanadamu kisha akampa usikivu na kuona na akili na akamjalia uwezo wa kuwa na utambuzi na kufahamu uhakika wa mambo?

0%
Font size