Skip to content
النِّسَاء /

Aya 151

4 : 151

Aya 151 of النِّسَاء (4 : 151). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النِّسَاء Aya 176
Sura · النِّسَاء
Kiswahili · Barawani
4 : 151

أُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡكَٰفِرُونَ حَقّٗاۚ وَأَعۡتَدۡنَا لِلۡكَٰفِرِينَ عَذَابٗا مُّهِينٗا

Hao ndio makafiri kweli. Na tumewaandalia makafiri adhabu ya kudhalilisha.

Explanation & meanings · 1
  1. Hawa wote ndio walio ungama ukafiri wao ulio wazi. Na Mwenyezi Mungu amekwisha waahidi wao na mifano ya hao adhabu kali yenye kudhalilisha.