Skip to content

Nilikuja kufanya Hija yangu ya lazima mwaka jana, nilifanya matukio yote ya Hija isipokuwa Twawaful Ifadha (kuzunguka Kaaba kwa ajili ya Hija) na Twawaful wadaa (Kuzunguka kaaba kwa ajili ya kuaga), nilizuiwa na udhuru wa kisheria, nikarudi nyumbani kwangu katika mji wa Madina nikiazimia kurudi siku katika masiku ili nizunguke Kaaba mizunguko niliyoiacha, kutokana na mimi kutojuwa mambo ya dini, nimehalalika na kila kitu, nimefanya mambo yote ambayo nakatazwa katika ihraam, nikaulizia kurudi ili nizunguke Kaaba nikaambiwa: Hauwezi tena kurudi, kwani tayari umeharibu ibada yako, inakulazimu kurudia Hija mara nyingine mwaka unaokuja, pamoja na kuchinja Ngamia au Ng'ombe, je fatwa hii ni sahihi? Je kuna njia nyingine, ni ipi hiyo, na je Hija yangu imeharibika? Na je natakiwa kurudia? Nipe faida kwa yale ninayotakiwa kuyafanya, Allah awabariki.

السؤال

Swali la 1:

س51: لقد قمت بأداء فريضة الحجّ العام الماضي، وأديت جميع شعائر الحجّ ما عدا طواف الإفاضة وطواف الوداع، حيث منعني منهما عذرٌ شرعيٌّ، فرجعت إلى بيتي في الـمدينة على أن أعود في يومٍ من الأيام؛ لأطوف طواف الإفاضة وطواف الوداع، وبجهلٍ منّي بأمور الدّين فقد تحللت من كلّ شيءٍ، وفعلت كل شيءٍ يحرم أثناء الإحرام، وسألت عن رجوعي لأطوف، فقيل لي: لا يصحّ لك أن تطوفي، فقد أفسدتّه، وعليك الإعادة -أي: إعادة الحجّ مرةً أخرى- في العام المقبل، مع ذبح بقرةٍ أو ناقةٍ، فهل هذا صحيحٌ؟ وهل هناك حلٌّ آخر؟ وما هو؟ وهل فسد حجّي؟ وهل عليّ إعادته؟ أفيدوني عمّا يجب فعله، بارك الله فيكم.

الجواب

Jawabu la 1:

Na hili pia ni katika balaa, kutolewe Fatwa bila ya elimu, na wewe katika hali hiyo unawajibika kurudi katika mji wa Makka, na ukatufu Twawaful ifadha pekee (Kuzunguka Kaaba kwa ajili ya Hija).

Ama kuzunguka Al-Kaaba kwa lengo la kuaga (Twawaful Wadaa) hulazimiki kufanya hivyo madamu ulikuwa na hedhi wakati unatoka katika mji wa Makka, kwa sababu mwenye hedhi halazimiki kufanya mzunguko huo;

kutokana na hadithi ya bin Abbas -radhi za Allah ziwe juu yao- Aliwaamrisha watu jambo lao la mwisho katika ibada ya Hija liwe ni kuzunguka Kaaba, isipokuwa aliwafanyia wepesi waliopatwa na hedhi.

Na katika riwaya ya Abuu Daudi: Jambo lao la mwisho katika ibada ya Hija liwe ni kuzunguka Kaaba.

Na ni kwa sababu Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- alipoambiwa kwamba Swafia ametufu (amezunguka Kaaba kwa mzunguko wa Hija) basi akasema: (Na arudi basi).

Imeonyesha hadithi hiyo kwamba mzunguko wa Kaaba kwa kuiaga Kaaba unadondoka kwa mwanamke mwenye hedhi.

Ama mzunguko wa Kaaba kwa ajili Hija huo ni lazima, na kwa kuwa amehalalika na kila kitu kwa kutojua, hilo halimdhuru kitu, kwa sababu asiyejua anapofanya katazo katika makatazo ya Ihiramu, hana dhambi.

Kutokana na kauli ya Allah Mtukufu: "Ewe Mola wetu Mlezi usituadhibu ikiwa tutasahau au kukosea" [A-Baqara: 286],

Akasema Allah Mtukufu: "Hakika nimefanya hivyo".

Na kauli yake Allah: "Hakuna tatizo juu yenu katika yale mliyokosea lakini tatizo liko kwa yale yaliyokusudiwa na nyoyo zenu". [Al-Ahzab:5]

Yote aliyoyakataza Allah Mtukufu kutoyafanya kipindi cha ibada ya Hija au Umra kwa yule mwenye kufanya ibada hiyo, akiyafanya katika hali ya kutokujua au kusahau au kwa kulazimishwa hana dhambi, lakini udhuru wake ukiondoka anawajibika juu yake ajivue katika lile aliloshikama nalo na kurudi katika asili.

ﺟ51: هذا أيضًا من البلاء الّذي يحصل من الفتوى بغير علمٍ، وأنت في هذه الحال يجب عليك أن ترجعي إلى مكة، وتطوفي طواف الإفاضة فقط.

أما طواف الوداع فليس عليك طواف وداعٍ ما دمت كنت حائضًا عند الخروج من مكة، وذلك لأن الحائض لا يلزمها طواف الوداع؛ لحديث ابن عباسٍ رضي الله عنهما:

«أُمِرَ النَّاسُ أَنْ يَكُونَ آخِرُ عَهْدِهِمْ بِالْبَيْتِ، إِلَّا أَنَّهُ خُفِّفَ عَنِ الْحَائِضِ» [1]،

وفي روايةٍ لأبي داود:

«أَنْ يَكُونَ آخِرُ عَهْدِهِمْ بِالْبَيْتِ الطَّوَافُ» [2].

ولأن النبي ﷺ لـمّا أخبر أنّ صفيّة طافت طواف الإفاضة قال:

«فَلْتَنْفِرْ إِذًا» [3]،

فدلّ هذا على أن طواف الوداع يسقط عن الحائض.

[19] أخرجه البخاري، كتاب الحج، باب طواف الوداع (1755)، ومسلم، كتاب الحج، باب وجوب طواف الوداع وسقوطه عن الحائض (380) (1328).

[20] أخرجه أبو داود، كتاب المناسك، باب الوداع (2002).

[21] أخرجه البخاري، كتاب الحيض، باب المرأة تحيض بعد الإفاضة (328)، ومسلم، كتاب الحج، الباب السابق (382) (1211).

أما طواف الإفاضة فلابد لك منه، ولـما كنت تحللت من كلّ شيءٍ جاهلةً فإن هذا لا يضرّك؛ لأن الجاهل الذي يفعل شيئًا من محظورات الإحرام لا شيء عليه؛ لقوله تعالى:

﴿...رَبَّنَا لَا تُؤَاخِذۡنَآ إِن نَّسِينَآ أَوۡ أَخۡطَأۡنَاۚ...﴾

[البقرة:286]،

قال الله تعالى:

«قَدْ فَعَلْتُ» [4]،

وقوله:

﴿...وَلَيۡسَ عَلَيۡكُمۡ جُنَاحٞ فِيمَآ أَخۡطَأۡتُم بِهِۦ وَلَٰكِن مَّا تَعَمَّدَتۡ قُلُوبُكُمۡۚ...﴾

[الأحزاب:5]،

فجميع الـمحظورات الّتي منعها الله تعالى على المحرم إذا فعلها جاهلًا أو ناسيًا أو مكرهًا فلا شيء عليه، لكن متى زال عذره وجب عليه أن يقلع عما تلبس به.

[22] أخرجه مسلم، كتاب الإيمان، باب بيان تجاوز الله تعالى عن حديث النفس (200) (126).