Skip to content

السؤال

س١٦: ما هي البشاشة؟

Swali: 16- Eleza nini maana ya bashasha?

الجواب

ج:هي طلاقةُ الوَجهِ، مع الفَرحِ والتَّبسُّمِ واللطف وإظهار السرور عند لقاء الناس.

وهي بعكس العبوس في وجه الناس مما ينفرهم.

  • وفي فضل ذلك جاءت الأحاديث، فعن أبي ذَرٍّ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ، قال: قال ليَ النَّبيُّ ﷺ:

«لا تَحْقِرَنَّ مِنَ المَعرُوفِ شَيْئًا، ولو أَنْ تَلْقَى أخاكَ بِوَجْهٍ طَلْقٍ»

رواه مسلم.

  • وقالَ رَسولُ اللهِ ﷺ:

«تَبَسُّمُكَ فِي وَجْهِ أَخِيكَ لَكَ صَدَقَةٌ»

رواه الترمذي.

Jawabu: Ni ukunjufu wa uso, pamoja na furaha, tabasamu, upole na kudhihirisha furaha wakati wa kukutana na watu.

Nayo ni kinyume cha kukunja sura mbele za watu, kitu kinachoweza kuwafanya wakawanaye mbali.

Na katika faida zake, zimekuja hadithi nyingi, Kutoka kwa Abuu Dhari Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, amesema: alisema kuniambia mimi Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake:

"Usidharau kabisa katika wema kitu chochote, hata kama ni kukutana na ndugu yako kwa uso mkunjufu."

Imepokelewa na Imamu Muslim

-Na Amesema mjumbe wa Mwenyezi Mungu rehema na Amani ziwe juu yake.

"Tabasamu lako katika uso wa ndugu yako ni sadaka"

Kaipokea Imamu Tirmidhiy