Swali: 15- Ni zipi aina za tabia ya mapenzi?
- الباب / الفصل
- قسم الأخلاق
السؤال
س١٥: ما أنواع خلق المحبة؟
Swali: 15- Ni zipi aina za tabia ya mapenzi?
الجواب
ج:محبة الله تَعَالَى.
قال تَعَالَى:
﴿وَٱلَّذِينَ ءَامَنُوٓاْ أَشَدُّ حُبّٗا لِّلَّهِ﴾
[البقرة: ١٦٥].
- محبة الرسول صلى الله عليه وسلم.
قال ﷺ:
«والَّذي نَفْسي بِيَدِه، لا يُؤمِنُ أحدُكم حتَّى أكونَ أحبَّ إليهِ مِن والِدِه ووَلَدِه»
رواه البخاري.
محبة المؤمنين، ومحبة الخير لهم كما تحبه لنفسك.
قال النبي عَلَيْهِ الصَّلَاةُ وَالسَّلَامُ:
«لَا يُؤْمِنُ أَحَدُكُمْ حَتَّى يُحِبَّ لِأَخِيهِ مَا يُحِبُّ لِنَفْسِهِ»
Jawabu: Ni kumpenda Mwenyezi Mungu Mtukufu.
Amesema Allah Mtukufu:
"Na wale walioamini wanamapenzi makubwa kwa Mwenyezi Mungu"
[Suratul Baqara: 24].
Kumpenda mtume - rehema na amani ziwe juu yake
Amesema:
"Namuapia yule ambaye nafsi yangu ipo mikononi mwake, hawezi kuwa na imani mmoja wenu mpaka nipendeke kwake zaidi kuliko mtoto wake na mzazi wake".
Imepokelewa na Al-Bukhaariy
Kuwapenda waumini, na kuwapendelea kheri kwao kama unavyoipendelea nafsi yako.
Amesema Mtume Sala na amani ziwe juu yake:
"Hawezi kuwa na imani mmoja wenu mpaka ampendelee ndugu yake anachokipenda yeye katika nafsi yake"