السؤال
س١٧: ما هو الحسد؟
Swali: 17- Husuda ni nini?
الجواب
ج:هو تمني زوال النعمة عن الغير أو كراهية النعمة على الغير.
- قال تَعَالَى:
﴿وَمِن شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ﴾
[الفلق: ٥].
- وعن أنسِ بنِ مالكٍ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ، أنَّ رسولَ اللهِ ﷺ قال:
«لا تَباغَضُوا، ولا تَحاسَدُوا، ولا تَدابَرُوا، وكُونوا -عِبادَ اللهِ- إخوانًا»
رواه البخاري ومسلم.
Jawabu: Ni kutamani neema ziwaondokee wengine, au kuchukia neema walizo pewa mtu.
Amesema Mtukufu: "(Na ninaomba kinga kutokana) Na shari ya hasidi anapofanya husuda" [Suratul Falaq: 5]
Na Kutoka kwa Anasi bin Maliki Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, ya kwamba Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake amesema:
"Msichukiane, na wala msihusudiane, na wala msitengane, nakuweni waja wa Mwenyezi Mungu ndugu wamoja"
Ameipokea Bukhari na Muslim.