Skip to content

kamilisha hadithi: "Namuapia yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake" na eleza baadhi ya faida zake.

الباب / الفصل
قسم الحديث

السؤال

س8: أكمل حديث: «والذي نفسي بيده! ...»، واذكر بعض فوائده.

Swali 8-: kamilisha hadithi: "Namuapia yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake" na eleza baadhi ya faida zake.

الجواب

ج:عن أبي سعيد رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ، عن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال:

«والذي نفسي بيده! إنها لتعدل تعدل ثلث القرآن»

رواه البخاري.

بعض فوائد الحديث:

  1. فضل سورة الإخلاص.
  2. وأنها تعدل ثلث القرآن.

Jawabu: Kutoka kwa Abuu Saidi Al Khudry Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, kutoka kwa Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake amesema:

"Namuapia yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake! Hakika hiyo inalingana na theluthi ya Qur'ani"

Imepokelewa na Al-Bukhaariy

Faida zinazo patikana katika hadithi:

  1. Ubora wa suratul Ikhlaswi.
  2. Nakwamba sura hiyo inalingana na theluthi ya Qur'ani.