Muulizaji wa kike anauliza: Yeye tangu awajibikiwe na swaumu anafunga Ramadhani, lakini halipi siku zake alizofungua kwa sababu ya mzunguko wa damu ya hedhi, na kwa sababu ya kutokujua idadi ya siku alizofungua, kwa hiyo, yeye hivi sasa, anaomba muongozo lile la lazima juu yake kulifanya.
- الموضوعات
- الصياممفسدات الصومالصياموقت القضاء وحكم تأخيرهالطهارةأحكام الحيض والنفاسالصلاةمبطلات الصلاة
السؤال
Swali la 1:
Muulizaji wa kike anauliza: Yeye tangu awajibikiwe na swaumu anafunga Ramadhani, lakini halipi siku zake alizofungua kwa sababu ya mzunguko wa damu ya hedhi, na kwa sababu ya kutokujua idadi ya siku alizofungua, kwa hiyo, yeye hivi sasa, anaomba muongozo lile la lazima juu yake kulifanya.
س30: سائلةٌ تقول: إنها منذ وجب عليها الصّيام وهي تصوم رمضان، ولكنها لا تقضي صيام الأيام التي تفطرها بسبب الدورة الشهرية، ولجهلها بعدد الأيام التي أفطرتها، فهي تطلب إرشادها إلى ما يجب عليها فعله الآن.
الجواب
Jawabu la 1:
Inasikitisha kutokea hili baina ya wanawake wa waumini, hakika huko kuacha- namaanisha: Kuacha kulipa siku ambazo ni lazima kwao kufunga -ima ni kwa sababu ya kutokujua, na ima ni kwa sababu ya uzembe, yote mawili ni msiba, kwa sababu ujinga dawa yake ni kusoma na kuuliza,
ama kuzembea, dawa yake ni kumcha Allah Mshindi Aliyetukuka, na kujichunga kujua Allah anakuona, na kuogopa mwisho wa mambo, na kupupia yale ambayo Allah anayaridhia.
Juu ya mwanamke huyu, atubie kwa Allah kwa yale aliyoyafanya, na aombe msamaha, ajitahidi kuzijua siku alizoacha kadiri ya uwezo wake kisha atazilipa, na kwa kufanya hili hatolaumiwa, natarajia Allah atakubali toba yake.
ﺟ30: يؤسفنا أن يقع مثل هذا بين نساء المؤمنين، فإن هذا الترك -أعني: ترك قضاء ما يجب عليها من الصّيام- إما أن يكون جهلًا، وإما أن يكون تهاونًا، وكلاهما مصيبةٌ؛ لأن الجهل دواؤه العلم والسّؤال،
وأما التهاون فإن دواءه تقوى الله عز وجل، ومراقبته، والخوف من عقابه، والمبادرة إلى ما فيه رضاه.
فعلى هذه المرأة أن تتوب إلى الله مما صنعت، وأن تستغفر، وأن تتحرى الأيام التي تركتها بقدر استطاعتها فتقضيها، وبهذا تبرأ ذمتها، ونرجو أن يقبل الله توبتها.