Skip to content

Mimi ni mwanamke ilitoka mimba ikiwa katika mwezi wa tatu, mwaka umepita sasa, na sikuswali mpaka nilivyotwaharika, waliniambia, ulikuwa unatakiwa kuswali, basi kipi natakiwa kufanya, na mimi sifahamu idadi ya siku maalumu?.

السؤال

Swali la 1:

Mimi ni mwanamke ilitoka mimba ikiwa katika mwezi wa tatu, mwaka umepita sasa, na sikuswali mpaka nilivyotwaharika, waliniambia, ulikuwa unatakiwa kuswali, basi kipi natakiwa kufanya, na mimi sifahamu idadi ya siku maalumu?.

س29: أنا امرأةٌ أسقطت في الشهر الثالث منذ عامٍ، ولم أصلّ حتى طهرت، وقد قيل لي: كان عليك أن تصلّي. فماذا أفعل، وأنا لا أعرف عدد الأيام بالتحديد؟

الجواب

Jawabu la 1:

Jambo linalofahamika kwa wanachuoni ni kwamba: Mwanamke pindi itakapotoka mimba yake ikiwa imetimiza miezi mitatu basi hatoswali, kwa sababu aliyetoka ni mtoto aliyebainika umbile lake na damu inayotoka inakuwa ni damu ya uzazi hivyo hatoswali ikiwa inatoka damu hiyo.

wanasema wanachuoni: Inawezekana kubainika umbile la mtoto tumboni zikitimia siku 81 na hizi ni chini ya miezi mitatu, akiwa na yakini kwamba mimba imetoka ikiwa na miezi mitatu, damu itakayomtoka inakuwa damu iliyoharibika, haachi swala kwa sababu hiyo.

Na jambo hili ni juu ya mwanamke kukumbuka, ikiwa mtoto aliyetoka ilikuwa kabla ya siku 80 basi atazilipa swala zile, ikiwa hajui ni swala ngapi kaziacha?

Basi akadirie, na ajitahidi kujua idadi, kisha dhana yake kubwa ikiwa katika idadi fulani ya swala zilizompita, basi azilipe kwa idadi hiyo.

ﺟ29: المعروف عند أهل العلم: أن المرأة إذا أسقطت لثلاثة أشهرٍ فإنها لا تصلّي؛ لأن المرأة إذا أسقطت جنينًا قد تبين فيه خلق إنسانٍ فإن الدم الّذي يخرج منها يكون دم نفاسٍ لا تصلّي فيه.

قال العلماء: ويمكن أن يتبين خلق الجنين إذا تم له واحدٌ وثمانون يومًا، وهذه أقلّ من ثلاثة أشهرٍ، فإذا تيقنت أنه سقط الجنين لثلاثة أشهرٍ فإن الذي أصابها يكون دم فسادٍ، لا تترك الصلاة من أجله.

وهذه السائلة عليها أن تتذكر في نفسها، فإذا كان الجنين سقط قبل الثمانين يومًا فإنها تقضي الصلاة، وإذا كانت لا تدري كم تركت؟

فإنها تقدّر، وتتحرى، وتقضي على ما يغلب عليه ظنّها أنها لم تصلّه.