Skip to content
Sifa ya Swala, kipande cha video kifupi

Sifa ya Swala, kipande cha video kifupi

Mafunzo mafupi kwa vitendo ya namna ya kutekeleza Swala, ili tumuabudu Mwenyezi Mungu kwa ujuzi na swala yetu iwe imetimia nguzo na masharti. Sifa ya Swala. Tukitaka kuswali inatulazimu tujitwaharishe kutokana na hadathi ndogo na hadathi kubwa. Na tunasali katika nguo twahara zinazositiri uchi wetu Na mwili wetu na mahali petu pa Swala pawe twahara kutokana na najisi. Tunaelekea kibla Na inapendekezwa tuswali kwenye sitara

Lugha: lang_sw
Imeandaliwa na:
Toleo: 2.0

These files are generated automatically from the book's text; their layout may differ from the printed edition.

0%
Font size