Mwanamke baada ya miezi miwili tangu kukatika kwa damu ya uzazi (Nifasi), akaanza kuona vitone vidogo vya damu, je atafungua, na wala hatoswali? au ni kipi atafanya?.
السؤال
Swali la 1:
Mwanamke baada ya miezi miwili tangu kukatika kwa damu ya uzazi (Nifasi), akaanza kuona vitone vidogo vya damu, je atafungua, na wala hatoswali? au ni kipi atafanya?.
س24: امرأةٌ بعد شهرين من النّفاس، وبعد أن طهرت بدأت تجد بعض النّقاط الصغيرة من الدم، فهل تفطر، ولا تصلّي؟ أو ماذا تفعل؟
الجواب
Jawabu la 1:
Matatizo ya wanawake katika damu ya hedhi na damu ya uzazi (Nifasi) ni bahari isiyo na ufukwe, na katika sababu za matatizo hayo: Matumizi ya vidonge vya kuzuia mimba au kuzuia damu ya hedhi, na zamani watu hawakuwa wakijua matatizo haya mengi,
Sahihi, haya matatizo yalikuwepo tangu alipopewa Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- Utume, bali yalikuwepo tangu alipopatikana mwanamke, lakini kwa wingi wake katika sura hii ambayo anafikia mwanadamu haelewi namna ya kutatua matatizo haya, hili ni jambo la kuhuzunisha sana.
Lakini kanuni ya ujumla: Mwanamke akitwaharika, akaona kutwaharika baada ya damu ya hedhi na damu ya uzazi: Yakatoka maji maji meupe wanayajua wanawake- basi baada ya mwanamke kutwaharika ukitoka uchafu, unjano, au tone, au unyevu, hivi vyote si hedhi, na havimzuii vitu hivyo kuswali, kufunga na wala havizuii tendo la ndoa baina ya mwanaume na mwanamke kwa sababu vitu hivyo si damu ya hedhi.
Alisema Ummu Atwiya: "Tulikuwa hatuoni unjano na uchafu kuwa ni kitu" amesimulia Bukhari na akazidisha Abuu Daud: (wakiona vitu hivyo) Baada ya kutwaharika. Mtiririko wa wapokezi wake ni sahihi.
Na kuhusu hili tunasema: Kila kitakachotokea katika vitu hivyo baada ya kutwaharika kwa uhakika, vitu hivyo havimdhuru mwanamke na wala havimzuii kuswali swala zake, na kufunga swaumu zake, na havimzuii kuingiliwa na mume wake lakini ni lazima kwa mwanamke huyu asifanye haraka asubiri mpaka aone kuwa katwaharika.
Kwa sababu baadhi ya wanawake damu ikikauka, hufanya haraka na hujitwaharisha kwa kuoga kabla hawajaona kule kutwaharika kunakotakiwa.
Na kwa hivyo, walikuwa wanawake walioishi kipindi cha Mtume wakiagiza Kursuf yaani; pamba yenye damu, iende kwa mama wa waumini Aisha radhi za Allah ziwe juu yake, alikuwa akiwaambia: Msifanye haraka mpaka muone maji maji meupe ambayo hutoka baada ya hedhi kumalizika.
ﺟ24: مشاكل النّساء في الحيض والنّفاس بحرٌ لا ساحل له، ومن أسبابه: استعمال هذه الحبوب المانعة للحمل والمانعة للحيض، وما كان الناس يعرفون مثل هذه الإشكالات الكثيرة،
صحيحٌ أن الإشكال ما زال موجودًا من بعثة الرسول ﷺ، بل منذ وجد النّساء، ولكن كثرته على هذا الوجه الذي يقف الإنسان حيران في حلّ مشاكله أمرٌ يؤسف له.
ولكن القاعدة العامة: أن المرأة إذا طهرت، ورأت الطّهر المتيقن في الحيض وفي النّفاس -وأعني بالطّهر في الحيض: خروج القصة البيضاء، وهو ماءٌ أبيض تعرفه النّساء- فما بعد الطّهر من كدرةٍ، أو صفرةٍ، أو نقطةٍ، أو رطوبةٍ، فهذا كلّه ليس بحيضٍ، فلا يمنع من الصلاة، ولا يمنع من الصّيام، ولا يمنع من جماع الرجل لزوجته؛ لأنه ليس بحيضٍ، قالت أمّ عطية:
«كُنَّا لَا نَعُدُّ الصُّفْرَةَ وَالْكُدْرَةَ شَيْئًا»
أخرجه البخاريّ[1]، وزاد أبو داود [2]:
«بَعْدَ الطُّهْرِ»
وسنده صحيحٌ.
[6] كتاب الحيض، باب الصفرة والكدرة في غير أيام الحيض (326).
[7] كتب الطهارة، باب في المرأة ترى الصفرة والكدرة بعد الطهر (307).
وعلى هذا نقول: كلّ ما حدث بعد الطّهر المتيقن من هذه الأشياء فإنها لا تضرّ المرأة، ولا تمنعها من صلاتها وصيامها ومباشرة زوجها إياها، ولكن يجب ألّا تتعجل حتى ترى الطّهر؛
لأن بعض النّساء إذا جف الدم عنها بادرت، واغتسلت قبل أن ترى الطّهر،
ولهذا كان نساء الصحابة يبعثن إلى أمّ المؤمنين عائشة رضي الله عنها بالكرسف، يعني: القطن فيه الدم، فتقول لهن:
«لَا تَعْجَلْنَ حَتَّى تَرَيْنَ القَصَّةَ البَيْضَاءَ»[3].
[8] أخرجه البخاري معلقًا، كتاب الحيض، باب إقبال الحيض وإدباره.