Skip to content

Lipi bora kwa mwanamke: Akaswali usiku ndani ya mwezi wa Ramadhani nyumbani kwake, au msikitini, hasa hasa msikitini kukiwa na mawaidha na ukumbusho? Ni upi muongozo wako kwa wanawake ambao wanaswali msiktini?.

السؤال

Swali la 1:

Lipi bora kwa mwanamke: Akaswali usiku ndani ya mwezi wa Ramadhani nyumbani kwake, au msikitini, hasa hasa msikitini kukiwa na mawaidha na ukumbusho? Ni upi muongozo wako kwa wanawake ambao wanaswali msiktini?.

س26: أيّهما أفضل للمرأة: أن تصلّي في ليالي رمضان في بيتها، أو في المسجد، وخصوصًا إذا كان فيه مواعظ وتذكيرٌ؟ وما توجيهك للنّساء اللاتي يصلّين في المساجد؟

الجواب

Jawabu la 1:

Bora akaswali katika nyumba yake, kutokana na ujumla wa kauli ya Mtume -rehema na amani ziwe juu yake-:

"Na Nyumba zao ni bora kwao wao"

Na ni kwa sababu mwanamke kutoka nyumbani kwake hakujasalimika na fitina katika nyakati nyingi, na kuwa mwanamke kubakia nyumbani kwake ni bora kwake, kuliko kutoka kwenda msikitini, ama mawaidha na mazungumzo ya kheri inawezekana akayapata kupitia kanda.

Na muongozo wangu kwa wanawake ambao wanaswalia msikitini: Watoke katika nyumba zao wakiwa hawajajipamba kwa mapambo, wala kujipulizia manukato.

ﺟ26: الأفضل أن تصلّي في بيتها؛ لعموم قول النبيّ ﷺ:

«وَبُيُوتُهُنَّ خَيْرٌ لَهُنَّ» [1]،

ولأن خروج النّساء لا يسلم من فتنةٍ في كثيرٍ من الأحيان، فكون المرأة تبقى في بيتها خيرٌ لها من أن تخرج للصلاة في المسجد، والمواعظ والحديث يمكن أن تحصل عليها بواسطة الشريط.

[9] رواه أبو داود، كتاب الصلاة، باب ما جاء في خروج النساء إلى المساجد (567).

وتوجيهي للاتي يصلّين في المسجد: أن يخرجن من بيوتهن غير متبرّجاتٍ بزينةٍ، ولا متطيّباتٍ.