Swali: 28- Uoga ni nini? Na ushujaa ni nini?
- الباب / الفصل
- قسم الأخلاق
السؤال
س٢٨: ما هو الجبن؟ وما هي الشجاعة؟
Swali: 28- Uoga ni nini? Na ushujaa ni nini?
الجواب
ج:الجبن: أن يخاف مما لا ينبغي أن يخاف منه.
مثل الخوف من قول الحق وإنكار المنكر.
الشجاعة: وهي الإقدام على الحق، وذلك مثل الإقدام في ساحات الجهاد للدفاع عن الإسلام والمسلمين.
- وكان النبي ﷺ في دعائه يقول:
«اللَّهُمَّ إنِّي أعوذُ بكَ من الجُبنِ...».
- وقال رسولُ اللهِ ﷺ:
«المؤمنُ القويُّ خيرٌ وأحبُّ إلى اللهِ مِن المؤمنِ الضَّعيفِ، وفي كُلٍّ خيرٌ»
رواه مسلم.
Jawabu: Uoga: Ni mtu kuogopa kitu ambacho hakitakiwa kuogopwa.
Mfano: Kuogopa kusema ukweli na kukemea uovu.
Ushujaa: Ni kujitosa katika ukweli, nao ni kama mfano wa kwenda mbele katika viwanja vya vita kwa ajili ya kuutetea uislamu na waislamu.
Na alikuwa Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake akisema katika dua yake:
"Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi najilinda kwako kutokana na uoga".
-Na Amesema mjumbe wa Mwenyezi Mungu rehema na Amani ziwe juu yake.
"Muumini mwenye nguvu ni bora na anapendeka kwa Allah kuliko muumini dhaifu, na katika kila kheri"
Imepokelewa na Imamu Muslim