Skip to content

السؤال

س٢٧: ما هو الإسراف؟ وما هو البخل؟ وما هو الكرم؟

Swali: 27- Nini maana ya ubadhirifu? (ufujaji) Na nini maana ubahili? Na ukarimu ni nini?

الجواب

ج:الإسراف: هو إنفاق المال بغير حقه، وعكسه: البخل: وهو الإمساك عن حقه.

والصحيح هو الوسط بينهما، وأن يكون المسلم كريمًا.

  • قال تَعَالَى:

﴿وَٱلَّذِينَ إِذَآ أَنفَقُواْ لَمۡ يُسۡرِفُواْ وَلَمۡ يَقۡتُرُواْ وَكَانَ بَيۡنَ ذَٰلِكَ قَوَامٗا﴾

[الفرقان: ٦٧].

Jawabu: Ubadhirifu: Ni kutumia mali bila sababu za msingi.

Na kinyume chake: Ni Ubahili: Nako ni kuzuia kutoa katika jambo la lazima.

Na sahihi zaidi nikuwa katikati ya hayo, na muislamu anatakiwa kuwa mkarimu.

Amesema Allah Mtukufu:

"Na wale ambao wakitumia mali zao hawapitishi kipimo katika kutoa wala hawabani katika matumizi, na kutumia kwao huwa kuko kati na kati baina ya kupitisha kipimo na kubana."

[Suratul Furqan: 63],