Skip to content

السؤال

س١: ما هو فضل الذكر؟

Swali: 3- Ni upi ubora wa dhikiri?

الجواب

ج:قال النبي صلى الله عليه وسلم:

«مثل الذي يذكر ربه والذي لا يذكر ربه، مثل الحي والميت»

رواه البخاري.

  • هذا لأن قيمة حياة الإنسان بقدر ذكره لله تَعَالَى.

Jawabu: Amesema Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-

"Mfano wa yule anayemtaja Mola wake na yule asiyemtaja Mola wake ni mfano wa aliyehai na aliyekufa"

Imepokelewa na Al-Bukhaariy

-Hii ni kwa sababu thamani ya maisha ya mtu huwa kulingana na kiwango chake cha kumkumbuka Mwenyezi Mungu Mtukufu.