Skip to content

السؤال

س٢: اذكر بعض فوائد الذكر.

Swali: 2- Eleza baadhi ya faida za kumtaja Mwenyezi Mungu.

الجواب

ج:١. يُرضي الرحمن.

  1. ويطرد الشيطان.
  2. ويحصن المسلم من الشرور.
  3. ويحصل به الأجر والثواب.

Jawabu: 1- Humridhisha Arrahman -Mwingi wa rehema-.

  1. Humfukuza shetani.
  2. Humkinga muislamu kutokana na shari.
  3. Hupatikana malipo na thawabu.