Skip to content

السؤال

س١٩: ما هو التواضع؟

Swali: 19- Elezea unyenyekevu ni nini?

الجواب

ج:هو أن لا يرى الإنسان نفسه على الناس، فلا يستحقر الناس ولا يرفض الحق.

  • قال تَعَالَى:

﴿وَعِبَادُ الرَّحْمَنِ الَّذِينَ يَمْشُونَ عَلَى الْأَرْضِ هَوْنًا﴾

[الفرقان: ٦٣]،

أي: متواضعين.

  • وقالَ رسولُ اللهِ ﷺ:

«وما تَواضَعَ أحَدٌ للهِ إلَّا رَفَعَهُ اللهُ»

رواه مسلم.

  • وقال صلى الله عليه وسلم:

«إنَّ اللهَ أَوْحى إليَّ أنْ تَواضَعُوا، حتَّى لا يَفخَرَ أحَدٌ على أحَدٍ، ولا يَبْغيَ أحَدٌ على أحَدٍ»

Jawabu: Ni mtu kutojiona yeye ni bora kwa watu, akawa hawadharau watu na wala haikatai haki.

Amesema Allah Mtukufu:

"Na waja wa Arrahman mwingi wa rehema ni wale wanaotembea ulimwenguni kwa staha"

[Suratul Furqan: 63],

Yaani: Wakiwa wanyenyekevu.

-Na Amesema mjumbe wa Mwenyezi Mungu rehema na Amani ziwe juu yake.

"Na hajawahi kunyenyekea yeyote kwa ajili ya Mwenyezi Mungu isipokuwa Mwenyezi Mungu humnyanyua"

Imepokelewa na Imamu Muslim

Na amesema Rehema na Amani ziwe juu yake:

"Hakika Mwenyezi Mungu ameteremsha wahyi kwangu, yakuwa kuweni wanyenyekevu kiasi kwamba asifanye uovu mmoja wenu kwa mwingine, na asichupe mipaka mmoja wenu juu ya mwingine".