Skip to content

السؤال

س2: اشرح هذه الأحكام الخمسة.

Swali: 2- Fafanua hizi hukumu tano.

الجواب

ج:١. الواجب: وهو على وجه اللزوم، مثل الصلوات الخمس، وصيام رمضان وبر الوالدين.

  • الواجب يثاب فاعله ويعاقب تاركه.
  1. المستحب: وهو ليس على وجه اللزوم، مثل السنن الرواتب، وقيام الليل وإطعام الطعام والسلام. ويسمى السنة والمندوب.
  • المستحب يثاب فاعله ولا يعاقب تاركه.

ملاحظة مهمة:

ينبغي للمسلم عندما يسمع أن هذا الأمر سنة أو مستحب أن يبادر إلى فعله، والاقتداء بالنبي ﷺ.

  1. المحرم: وهو ما تركه لازم، مثل شرب الخمر، وعقوق الوالدين، وقطع الأرحام.
  • المحرم يثاب تاركه ويعاقب فاعله.
  1. المكروه: تركه غير لازم، مثل الأخذ والإعطاء باليد الشمال، كف الثوب في الصلاة.
  • المكروه يثاب تاركه ولا يعاقب فاعله.
  1. المباح: وهو على التخيير بين تركه وفعله، مثل أكل التفاحة وشرب الشاي، ويسمى: الجائز والحلال.
  • المباح لا يثاب تاركه ولا يعاقب فاعله.

Jawabu:

  1. Wajibu (Faradhi): Mfano kama swala tano, na kufunga mwezi wa ramadhani, na kuwatendea wema wazazi wawili.

-Jambo la wajibu hulipwa thawabu mfanyaji wake ni huadhibiwa mwenye kuliacha.

  1. Sunna: Mfano kama swala za sunna zenye mpangilio (Sunani Rawatibu) Na kisimamo cha usiku, na kulisha chakula, na kutoa salamu, na huitwa sunna au Mandubu.

-Jambo la Sunna hulipwa mfanyaji wake na wala haadhibiwi mwenye kuliacha.

Angalizo muhimu:

Ni lazima kwa kila muislamu anaposikia kuwa jambo hili ni sunna au linapendeza (Mandubu) afanye haraka kulitekeleza, na kumuiga Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake.

  1. Haramu: Mfano kunywa pombe na kuwaasi wazazi wawili, na kukata udugu.

-Haramu hulipwa mwenye kuiacha na huadhibiwa mwenye kuifanya.

  1. Machukizo (Makruhu): Mfano kama kupokea na kutoa au kumpa mtu kwa mkono wa kushoto, na kufunua nguo ndani ya swala.

-Machukizo hupata malipo mwenye kuyaacha na wala haadhibiwi mwenye kuyafanya.

  1. Halali: Mfano kama kula tufaa (Apple) na kunywa chai, na huitwa: yanayoruhusiwa au kwa jina jingine halali.

-Mambo ya halali hapati malipo mwenye kuyaacha na wala haadhibiwi mwenye kuyafanya.