Skip to content

السؤال

س4: ما حكم البيع والمعاملات؟

Swali: 3- Ni ipi hukumu ya kuuza na miamala?

الجواب

ج:الأصل في كل البيوع والمعاملات أنها حلال إلا بعض الأنواع مما حرم الله تَعَالَى.

قال تَعَالَى:

﴿وَأَحَلَّ ٱللَّهُ ٱلۡبَيۡعَ وَحَرَّمَ ٱلرِّبَوٰاْۚ﴾

[البقرة: ٢٧٥].

Jawabu: Asili katika biashara zote na miamala yote ni halali, isipokuwa baadhi ya aina ambazo kaziharamisha Mwenyezi Mungu Mtukufu.

Amesema Allah Mtukufu:

"Na amehalalisha Mwenyezi Mungu biashara na akaharamisha riba"

[Suratul Baqara: 24].