Skip to content

السؤال

س٢٦: ما هو التجسس؟

Swali: 26- Nini maana ya kupeleleza?

الجواب

ج:هو الكشف والبحث عن عورات الناس وما يسترونه.

من صوره المحرمة:

  • الاطلاع على عورات الناس في البيوت.
  • استماع المرء إلى حديث قوم بدون علمهم.
  • قال تَعَالَى:

﴿وَلَا تَجَسَّسُوا ...﴾

[الحجرات: ١٢].

Jawabu: Ni kubaini na kutafuta aibu za watu pamoja na yale waliyoyasitiri.

Miongoni mwa aina zake za haramu:

  • Kuchungulia uchi wa watu majumbani.

-Mtu kusikiliza mazungumzo ya watu bila ya wao kujua.

Amesema Allah Mtukufu:

"Na wala msichunguzane".

[Suratul Hujurat: 11].