وهذهِ رِسالَةٌ مُوجَزَةٌ لَكَ يا مَن فَقَدتَ قَرِيبًا أو عَزِيزًا، أو حَبِيبًا، نَسألُ اللَّهَ عزَّ وجلَّ أن ينفعنا وإياكَ بِها، وهي بِعنوان: (أحكامُ الجَنائِز).
HUKUMU ZA AL-HADYU, AL-ADHWAHI NA NAMNA YA KUCHINJA.
19 lugha
HUKUMU ZA AL-HADYU, AL-ADHWAHI NA NAMNA YA KUCHINJA.
Hukumu za Al-hadyu (wanyama wachinjwao kama zawadi ya Msikiti Mtukufu wa Makka) na Al-adhwahi (wanyama wachinjwao siku ya Idi) na Namna ya Kuchinja. Huu ni Ujumbe mfupi uliokusanya mambo muhimu zaidi kwa Muislamu katika hukumu za wanyama wachinjwao kama sadaka, na vichinjwa vya siku ya Idi; ili Muislamu awe na elimu na uelewa wa wazi kuhusu mambo ya dini yake.
YALIYO CHAGULIWA KUTOKA KATIKA SOKO LENYE FAIDA KATIKA THAWABU ZA MATENDO MEMA.
13 lugha
YALIYO CHAGULIWA KUTOKA KATIKA SOKO LENYE FAIDA KATIKA THAWABU ZA MATENDO MEMA.
كتاب جامع لجملة من أحاديث النبي -صلى الله عليه وسلم- الصحيحية في ثواب الأعمال الصالحة كطلب العلم والطهارة والصلاة، وصلاة التطوع، والجمعة والجنائز، والصدقات والصوم والحج والجهاد، وقراءة القرآن، وذكر الرحمن وغيرها.
Kila kitu kinaashiria kuwepo Muumba. Ni nani aliziumba mbingu na Ardhi na vilivyomo ndani yake, miongoni mwa viumbe vikubwa ambavyo havijulikani ukubwa wake? Ni nani aliyetengeneza mpangilio huu mzuri zaidi katika mbingu na ardhi? Ni nani aliyemuumba mwanadamu kisha akampa usikivu, uoni na akili, na akamjalia uwezo wa kujifunza maarifa na kufahamu uhakika wa mambo? Vipi unafasiri uumbaji huu wa kiwango cha juu sana katika wa viungo vya mwili wako, na miili ya viumbe vilivyo hai? Na ni nani aliyeviumba kwa ustadi huu mkubwa? Ni namna gani inajipanga vizuri na kutulia Dunia hii iliyo kubwa,…
Kimetungwa na Sheikhul Islam Al Mujaddid Imamu Muhammadi bin Abdil Wahhab -Mwenyezi Mungu amrehemu- Mwaka 1115-1206 H Amekihakiki na akashughulika nacho na akazichambua hadithi zake fakiri kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu Dr. Saidi bin Ally bin Wahfu Al Qahtwaaniy Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema na Mwenye kurehemu.