Skip to content
HUKUMU ZA AL-HADYU, AL-ADHWAHI NA NAMNA YA KUCHINJA.

HUKUMU ZA AL-HADYU, AL-ADHWAHI NA NAMNA YA KUCHINJA.

Hukumu za Al-hadyu (wanyama wachinjwao kama zawadi ya Msikiti Mtukufu wa Makka) na Al-adhwahi (wanyama wachinjwao siku ya Idi) na Namna ya Kuchinja. Huu ni Ujumbe mfupi uliokusanya mambo muhimu zaidi kwa Muislamu katika hukumu za wanyama wachinjwao kama sadaka, na vichinjwa vya siku ya Idi; ili Muislamu awe na elimu na uelewa wa wazi kuhusu mambo ya dini yake.

Lugha: lang_sw
Imeandaliwa na: Kamati ya Kielimu ya usimamizi wa mambo ya Dini ya Msikiti Mtukufu wa Makkah na Msikiti Mtukufu wa Madinah
Toleo: 1.2
0%
Font size