Skip to content
Miongoni mwa hukumu za Funga (swaumu)

Miongoni mwa hukumu za Funga (swaumu)

Maana ya Funga, na ulazima wa kufunga Ramadhani Jambo la kwanza: Maana ya Funga Kufunga ni: Ni kumuabudu Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kujizuilia na vitu vyote vyenye kufunguza, kuanzia kuchomoza kwa alfajiri, hadi kutua kwa jua.

0%
Font size