السؤال
س۸: ما هي أعياد المسلمين؟
Swali: 7- Ni zipi sikukuu za waislamu?
الجواب
ج:عيد الفطر وعيد الأضحى.
لما جاء في حديث أَنَسٍ رضي الله عنه، قَالَ:
قَدِمَ رَسُولُ اللَّهِ ﷺ الْمَدِينَةَ وَلَهُمْ يَوْمَانِ يَلْعَبُونَ فِيهِمَا، فَقَالَ: «مَا هَذَانِ الْيَوْمَانِ؟»، قَالُوا: كُنَّا نَلْعَبُ فِيهِمَا فِي الْجَاهِلِيَّةِ، فَقَالَ رَسُولُ اللَّهِ ﷺ:«إِنَّ اللَّهَ قَدْ أَبْدَلَكُمْ بِهِمَا خَيْرًا مِنْهُمَا: يَوْمَ الْأَضْحَى، وَيَوْمَ الْفِطْرِ»
رواه أبوداود.
وما سواهما من الأعياد فمن البدع.
Jawabu: Sikukuu za Fitri na Adh-ha (Iddil Fitri na Iddil Adh-ha)
Kama ilivyokuja katika hadithi ya Anasi, Amesema: Alikuja Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake katika mji wa Madina akakuta wakiwa na siku mbili ambazo wanazitumia kwa kucheza ndani yake, Akasema: "Ni za nini siku hizi mbili?", Wakasema: Tulikuwa tukicheza ndani yake zama za ujinga, akasema Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake:
"Hakika Mwenyezi Mungu amekubadilishieni kwa siku hizo mbili siku bora kuliko hizo: Sikukuu ya Adh-ha, na sikukuu ya Fitri"
Kaipokea Abuudaud.
Sikukuu zingine zisizokuwa hizo basi hizo ni katika uzushi.