Swali: 13- Ni zipi aina za tabia ya haya (Aibu)?
- الباب / الفصل
- قسم الأخلاق
السؤال
س١٣: ما أنواع خُلق الحياء؟
Swali: 13- Ni zipi aina za tabia ya haya (Aibu)?
الجواب
ج:١. الحياء من الله: يكون بأن لا تعصيه سُبْحَانَهُ.
- الحياء من الناس: ومن ذلك ترك الكلام الفاحش البذيء وكشف العورة.
- قال رسول الله صلى الله عليه وسلم:
«الإِيمانُ بِضْعٌ وسَبعونَ» - أو: «بِضْعٌ وسِتُّونَ» - «شُعْبةً، أَعْلَاها: قَوْلُ: لا إِلَهَ إلَّا اللهُ. وأَدْناها: إِماطةُ الأَذَى عنِ الطَّريقِ. والحَياءُ شُعْبةٌ مِنَ الإِيمانِ»
رواه مسلم.
Jawabu: 1- Kumuonea haya Mwenyezi Mungu: inakuwa kutomuasi mwenyezi mungu Mtukufu.
- Kuwaonea haya watu: Na miongoni mwa haya ni kuacha maneno mabaya machafu, na kufunua uchi.
Amesema mjumbe wa Mwenyezi Mungu rehema na Amani ziwe juu yake.
"Imani iko zaidi ya sehemu sabini". "Au zaidi ya sitini" sehemu ya juu yake zaidi ni kauli ya (Laa ilaaha illa llaahu) Hapana Mola anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu, na ya chini yake zaidi ni kuondoa maudhi njiani, na haya (aibu) ni sehemu katika imani."
Imepokelewa na Imamu Muslim