Skip to content

السؤال

س٧: ما ضد الأمانة؟

Swali: 7- Ni kipi kinyume cha amana?

الجواب

ج:الخيانة، وهي تضييع حقوق الله تَعَالَى وحقوق الناس.

  • قال تعالى:

﴿يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ لَا تَخُونُواْ ٱللَّهَ وَٱلرَّسُولَ وَتَخُونُوٓاْ أَمَٰنَٰتِكُمۡ وَأَنتُمۡ تَعۡلَمُونَ﴾

[الأنفال: ٢٧].

  • قال النبي عَلَيْهِ الصَّلَاةُ وَالسَّلَامُ:

«آيَةُ المُنافِقِ ثَلاثٌ» - وذكر منها - «وإذا اؤْتُمِنَ خانَ»

متفق عليه.

Jawabu: Ni hiyana, nayo maana yake ni kupoteza haki za Mwenyezi Mungu Mtukufu na haki za watu.

Amesema Mtume Sala na amani ziwe juu yake:

"Alama za mnafiki ni tatu" Na akataja miongoni mwa hizo alaama "Na akiaminiwa anafanya hiyana"

Hadithi hii wamekubaliana Bukhari na Muslim.