Skip to content

السؤال

س٨: ما هو خلق الصدق؟

Swali: 8- Ni ipi tabia ya ukweli?

الجواب

ج:هو الإخبار بما يطابق الواقع أو الشيء على ما هو عليه.

ومن صوره:

  • الصدق في الحديث مع الناس.
  • الصدق في الوعد.
  • الصدق في كل قول وعمل.
  • قال النبي عَلَيْهِ الصَّلَاةُ وَالسَّلَامُ:

«إنَّ الصِّدقَ يَهْدي إلى البِرِّ، وإنَّ البِرَّ يَهْدي إلى الجنَّةِ، وإنَّ الرَّجلَ لَيَصْدُقُ حتَّى يكونَ صِدِّيقًا»

متفق عليه.

Jawabu: Ni kueleza kwa namna inayoendana na uhalisia wa tukio au kukieleza kitu kama kilivyo.

Na katika namna zake:

Ukweli wakati wa mazungumzo na watu.

Ukweli katika ahadi.

Ukweli katika kila kauli na kitendo.

Amesema Mtume Sala na amani ziwe juu yake:

"Hakika ukweli unamuongoza mtu katika wema, na hakika wema unamuongoza mtu katika pepo, na hakika mtu husema kweli mpaka anakuwa mkweli"

Hadithi hii wamekubaliana Bukhari na Muslim.