Skip to content

السؤال

س٦: ما أنواع الأمانة وصورها؟

Swali: 6- Ni zipi aina za amana na namna zake?.

الجواب

ج:١. أمانة في حفظ حقوق الله تَعَالَى.

صورها: الأمانة في أداء العبادات من الصلاة، والزكاة، والصيام، والحج، وغيرها مما افترض الله علينا.

  1. أمانة في حفظ حقوق الخلق:
  • من حفظ أعراض الناس.
  • وأموالهم.
  • ودمائهم.
  • وأسرارهم، وجميع ما ائتمنك عليه الناس.

قال تَعَالَى في ذِكر صِفات المفلحين:

﴿وَٱلَّذِينَ هُمۡ لِأَمَٰنَٰتِهِمۡ وَعَهۡدِهِمۡ رَٰعُونَ﴾

[المؤمنون: ٨].

Jawabu:

  1. Amana katika kuhifadhi haki za Mwenyezi Mungu Mtukufu.

Aina zake: Amana katika utekelezaji wa ibada kama swala, zaka, swaumu, Hijja, na zinginezo katika zile alizozifaradhisha Mwenyezi Mungu juu yetu.

  1. Amana katika kuhifadhi haki za viumbe:

Ikiwemo kuhifadhi heshima za watu.

Na mali zao.

Na damu zao.

Na siri zao, na yote ambayo watu wamekuamini.

Amesema Mwenyezi Mungu katika kutaja sifa za waliofaulu:

"Na wale ambao wanavitunza vitu vyote walivyoaminiwa navyo, na wanatekeleza ahadi zao zote."

[Suratul Mu'uminun: 1,2]