Skip to content

السؤال

س٢٢: ما هي الغيبة؟

Swali: 22- Kusengenya ni nini?

الجواب

ج:هي ذِكْرُ أخيك المسلم بما يكره وهو غائب.

  • قال تَعَالَى:

﴿وَلَا يَغْتَبْ بَعْضُكُمْ بَعْضًا أَيُحِبُّ أَحَدُكُمْ أَنْ يَأْكُلَ لَحْمَ أَخِيهِ مَيْتًا فَكَرِهْتُمُوهُ وَاتَّقُوا اللَّهَ إِنَّ اللَّهَ تَوَّابٌ رَحِيمٌ﴾

[الحجرات: ١٢].

Jawabu: Ni kumsema ndugu yako muislamu kwa yale anayoyachukia akiwa hayupo katika mazungumzo.

Amesema Allah Mtukufu:

"Na wala msisengenyane nyinyi kwa nyinyi, Je yupo katika nyinyi anayependa kuila nyama ya nduguye aliyekufa? Mnalichukia hilo (bila shaka) Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni mwenye kupokea toba, mwenye kurehemu"

[Suratul Hujurat: 11].