Skip to content

السؤال

س٥: ما ضد الإحسان؟

Swali: 5- Ni kipi kinyume cha wema?

الجواب

ج:ضد الإحسان الإساءة.

  • ومن ذلك: ترك الإخلاص في عبادة الله تَعَالَى.
  • وعقوق الوالدين.
  • وقطع الأرحام.
  • وسوء الجوار.
  • وترك الإحسان إلى الفقراء والمساكين وغير ذلك من سيء الأقوال والأعمال.

Jawabu: kinyume cha wema ni kukosea (kukwaza).

Miongoni mwa makosa: Ni kuacha kutakasa nia katika ibada za Mwenyezi Mungu Mtukufu.

Na kuwaasi wazazi wawili.

Kukata undugu.

Kuishi vibaya na majirani.

Kuacha kuwafanyia wema mayatima na masikini, na mengineyo katika aina za mazungumzo na matendo mabaya.