Skip to content

السؤال

س13: أكمل حديث «من حسن إسلام المرء ...»، واذكر بعض فوائده.

Swali: 13- Kamilisha hadithi: "Katika uzuri wa uislamu wa mtu" Na ueleze baadhi ya faida zake.

الجواب

ج:عن أبي هريرة رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم:

«من حسن إسلام المرء: تركُه ما لا يعنيه»

رواه الترمذي وغيره.

من فوائد الحديث:

  1. ترك ما لا يعني الإنسان من أمور دين غيره ودنياه.
  2. أن ترك ما لا يعني من كمال إسلامه.

Jawabu: Kutoka kwa Abuu Huraira Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, amesema: amesema: Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake:

"Katika uzuri wa uislamu wa mtu: Ni kuacha kwake yale yasiyomuhusu"

Kaipokea Tirmidhiy.

Faida zinazo patikana katika hadithi:

  1. Mtu kuyacha yasiyomuhusu katika mambo ya dini ya mtu mwingine au dunia yake.
  2. Kuacha yasiyomuhusu ni katika ukamilifu wa uislamu wake.