Swali: 14- Kamilisha hadithi: "Atakayesoma herufi moja katika kitabu cha Mwenyezi Mungu" Na eleza baadhi ya faida zake.
- الباب / الفصل
- قسم الحديث
السؤال
س١٤: أكمل حديث: «من قرأ حرفًا من كتاب الله...»، واذكر بعض فوائده.
Swali: 14- Kamilisha hadithi: "Atakayesoma herufi moja katika kitabu cha Mwenyezi Mungu" Na eleza baadhi ya faida zake.
الجواب
ج:عن عبدِ الله بن مسعودٍ رضي الله عنه: أنَّ النبي صلى الله عليه وسلم، قال:
«مَن قرأ حرفًا من كتاب الله فله به حسنة، والحسنة بعشر أمثالها، لا أقول: ألف لام ميم حرف، وَلَكِنْ ألفٌ حرفٌ، ولامٌ حرفٌ، وميمٌ حرفٌ»
رواه الترمذي.
بعض فوائد الحديث:
- فضل تلاوة القرآن.
- وأن بكل حرف تقرؤه لك به حسنات.
*******
Jawabu: Kutoka kwa Abdillah bin Masoud: Yakwamba Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake, amesema:
"Atakayesoma herufi moja katika kitabu cha Mwenyezi Mungu basi atapata jema moja kwa herufi hiyo, na jema moja hulipwa mara kumi mfano wake, sisemi: Alif Laam Miim ni herufi moja, Lakini, alifu ni herufi, na Laam ni herufi, na Miim ni herufi"
Kaipokea Imamu Tirmidhiy
Faida zinazo patikana katika hadithi:
- Ubora wa kusoma Qur'ani.
- Na yakwamba kwa kila herufi unayoisoma unapata mema mengi kwa herufi hiyo.