Skip to content

Swali: 6- Nini Maana ya kushuhudia kuwa Muhammad ni mtume wa Mwenyezi Mungu?

الباب / الفصل
قسم العقيدة

السؤال

Swali: 6- Nini Maana ya kushuhudia kuwa Muhammad ni mtume wa Mwenyezi Mungu?

س6: ما معنى شهادة أنَّ محمدًا رسول الله؟

الجواب

Jawabu: Maana yake: Ni kuwa Mwenyezi Mungu kamtuma kwa walimwengu wote ili awape habari njema na awaonye.

Na ni wajibu:

  1. Kumtii katika yale aliyoyaamrisha.
  2. Kumsadikisha katika yale aliyoyaeleza.
  3. Kutomuasi.
  4. Asiabudiwe Mwenyezi Mungu isipokuwa kwa yale aliyoyafundisha kama sheria, nako ni kuiga kupitia mafundisho yake (Sunna) na kuacha uzushi.

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: "Mwenye kumtii Mtume basi hakika atakuwa kamtii Mwenyezi Mungu" [Suratun Nisaa: 80], na akasema Mtukufu

"Na hatamki kwa matamanio 3- Bali huo ni ufunuo anafunuliwa"

[Surat Najm: 3,4].

Na anasema aliyetakasika na kutukuka:

{Hakika nyinyi mna kiigizo chema kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu kwa anaye mtaraji Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, na akamkumbuka Mwenyezi Mungu na kumtaja kwa wingi} ((21)),

[Suratul Israi: 21].

ج:معناها: أن الله أرسله للعالمين بشيرًا ونذيرًا.

  • ويجب:
  1. طاعته فيما أمر.
  2. تصديقه فيما أخبر.
  3. عدم معصيته.
  4. لا يعبد الله إلا بما شرع، وهو الاقتداء بالسنة وترك البدعة.

قال تَعَالَى:

﴿مَّن يُطِعِ ٱلرَّسُولَ فَقَدۡ أَطَاعَ ٱللَّهَۖ﴾

[النساء: 80]،

وقال سُبْحَانَهُ:

﴿وَمَا يَنطِقُ عَنِ ٱلۡهَوَىٰٓ 3

إِنۡ هُوَ إِلَّا وَحۡيٞ يُوحَىٰ 4﴾

[النجم: 3-4].

وقال جَلَّ وَعَلَا:

﴿لَّقَدۡ كَانَ لَكُمۡ فِي رَسُولِ ٱللَّهِ أُسۡوَةٌ حَسَنَةٞ لِّمَن كَانَ يَرۡجُواْ ٱللَّهَ وَٱلۡيَوۡمَ ٱلۡأٓخِرَ وَذَكَرَ ٱللَّهَ كَثِيرٗا﴾

[الأحزاب: 21].