Skip to content

Swali: 6- Kamilisha hadithi: "Hawezi kuamini mmoja wenu mpaka nipendeke kwake" Na eleza baadhi ya faida zake.

الباب / الفصل
قسم الحديث

السؤال

س6: أكمل حديث: «لا يؤمن أحدكم حتى أكون أحب إليه ...»، واذكر بعض فوائده.

Swali: 6- Kamilisha hadithi: "Hawezi kuamini mmoja wenu mpaka nipendeke kwake" Na eleza baadhi ya faida zake.

الجواب

ج:عن أنس رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ، قال رسول الله صلى الله عليه وسلم:

«لا يؤمن أحدكم حتى أكون أحب إليه من والده، وولده، والناس أجمعين»

رواه البخاري ومسلم.

من فوائد الحديث:

  • يجب محبة النبي صلى الله عليه وسلم أكثر من كل الناس.
  • أن ذلك من كمال الإيمان.

Jawabu: Kutoka kwa Anasi Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, amesema Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake:

"Hawezi kuamini mmoja wenu mpaka niwe napendeka zaidi kwake kuliko mtoto wake, mzazi wake, na watu wote."

Ameipokea Bukhari na Muslim.

Faida zinazo patikana katika hadithi:

  • Kumpenda Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake ni wajibu kuliko mapenzi ya watu wote.
  • Na yakwamba hilo ni katika ukamilifu wa imani.