Skip to content

Swali: 5- Kamilisha hadithi: "Atakayeapa kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu" Na ueleze baadhi ya faida zake.

الباب / الفصل
قسم الحديث

السؤال

س5: أكمل حديث: «من حلف بغير الله ...»، واذكر بعض فوائده.

Swali: 5- Kamilisha hadithi: "Atakayeapa kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu" Na ueleze baadhi ya faida zake.

الجواب

ج:عن ابن عمر رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُما أن النبي ﷺ قال:

«من حلف بغير الله؛ فقد كفر أو أشرك».

رواه الترمذي.

فوائد من الحديث:

  • لا يجوز الحلف إلا بالله تَعَالَى.
  • الحلف بغير الله تَعَالَى من الشرك الأصغر.

Jawabu: Kutoka kwa Abdallah bin Omari Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao, ya kwamba Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake amesema:

"Mwenye kumuapia asiyekuwa Allah atakuwa amekufuru au kamshirikisha Allah."

Kaipokea Imamu Tirmidhiy

Faida zinazo patikana katika hadithi

-Hafai kuapa isipokuwa kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu.

  • Kuapa kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu Mtukufu ni katika shirki ndogo.