Skip to content

Swali: 7- Kamilisha hadithi: "Hawezi kuamini mmoja wenu mpaka ampendelee ndugu yake" Na eleza baadhi ya faida zake.

الباب / الفصل
قسم الحديث

السؤال

س7: أكمل حديث: «لا يؤمن أحدكم حتى يحب لأخيه ...»، واذكر بعض فوائده.

Swali: 7- Kamilisha hadithi: "Hawezi kuamini mmoja wenu mpaka ampendelee ndugu yake" Na eleza baadhi ya faida zake.

الجواب

ج:عن أنس رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ، قال رسول الله صلى الله عليه وسلم:

«لا يؤمن أحدكم؛ حتى يحب لأخيه ما يحب لنفسه»

رواه البخاري ومسلم.

من فوائد الحديث:

  • على المؤمن أن يحب للمؤمنين من الخير كما يحب لنفسه.
  • وذلك من كمال الإيمان.

Jawabu: Kutoka kwa Anasi Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, amesema Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake:

"Hawezi kuwa na imani mmoja wenu mpaka ampendelee ndugu yake anachokipenda yeye katika nafsi yake"

Ameipokea Bukhari na Muslim.

Faida zinazo patikana katika hadithi:

  1. Ni juu ya muumini kuwapendelea waumini kheri kama anavyoipendelea nafsi yake.
  • Na hilo ni katika ukamilifu wa imani.