Skip to content

Nimehiji na nikajiwa na mzunguko wa kisheria wa mwezi, nikaona haya kumwambia mtu yeyote, nikaingia katika mji mtukufu, nikaswali, nikatufu, na kuzunguka Swafa na Marwa, lipi lilo juu yangu, na ifahamike ulinijia mzunguko huo baada ya nifasi.

السؤال

Swali la 1:

Nimehiji na nikajiwa na mzunguko wa kisheria wa mwezi, nikaona haya kumwambia mtu yeyote, nikaingia katika mji mtukufu, nikaswali, nikatufu, na kuzunguka Swafa na Marwa, lipi lilo juu yangu, na ifahamike ulinijia mzunguko huo baada ya nifasi.

س57: حججت، وجاءتني الدورة الشهرية، فاستحييت أن أخبر أحدًا، ودخلت الحرم، فصليت، وطفت، وسعيت، فماذا علي، علمًا بأنها جاءت بعد النّفاس؟

الجواب

Jawabu la 1:

Haifai kwa mwanamke akiwa katika siku zake iwe ni damu ya hedhi au damu ya uzazi kwa yeye kuswali, akiwa katika mji wa Makka au mji wake au sehemu yoyote ile atakayokuwa.

Hii ni kutokana na kauli ya Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- kwa mwanamke: "Je hakuwa pindi akiwa katika hedhi haswali na hafungi?".

Na wamekubaliana waislamu ya kuwa mwanamke mwenye hedhi haruhusiwi kufunga wala kuswali.

Na kwa mwanamke huyu aliyefanya hilo, anatakiwa atubie kwa Allah, na aombe msamaha kwa yale yaliyotokea.

Ama Twawafu yake kipindi cha hedhi sio sahihi, ama kuzunguka kwake Swafa na Marwa ni sahihi, kwa sababu kauli yenye nguvu ni kufaa kutanguliza mzunguko wa Swafa na Marwa kabla ya kuzunguka Al-Kaaba katika Hija, na juu ya hili inawajibika juu ya mwanamke huyu akazunguke Kaaba tena, kwa sababu kuzunguka Kaaba kwa ajili ya Hija ni nguzo katika nguzo za Hija, na wala hakutimii kujihalalisha kwa mara ya pili isipokuwa kwa jambo hilo.

Na juu ya hilo, mwanamike huyu haruhusiwi kuingiliwa na mumewe,-ikiwa ameolewa- mpaka azunguke Kaaba, na wala haifungiki ndoa kwakwe ikiwa hajaolewa- mpaka azunguke Kaaba- Na Allah ndiye Mjuzi zaidi.

ﺟ57: لا يحلّ للمرأة إذا كانت حائضًا أو نفساء أن تصلّي، سواء في مكة أو في بلدها أو في أيّ مكانٍ؛ لقول النبيّ ﷺ في المرأة:

«أَلَيْسَ إِذَا حَاضَتْ لَمْ تُصَلِّ، وَلَمْ تَصُمْ؟» [1]،

وقد أجمع المسلمون على أنه لا يحلّ لحائضٍ أن تصوم، ولا يحلّ لها أن تصلّي.

[28] تقدم تخريجه.

وعلى هذه المرأة التي فعلت ذلك، عليها أن تتوب إلى الله، وأن تستغفر ممّا وقع منها.

وأما طوافها حال الحيض فهو غير صحيحٍ، وأما سعيها فصحيحٌ؛ لأن القول الراجح جواز تقديم السعي على الطواف في الحجّ، وعلى هذا فيجب عليها أن تعيد الطواف؛ لأن طواف الإفاضة ركنٌ من أركان الحجّ، ولا يتمّ التحلّل الثاني إلا به.

وبناءً عليه فإن هذه المرأة لا يباشرها زوجها -إن كانت متزوّجةً- حتى تطوف، ولا يعقد عليها النّكاح -إن كانت غير متزوّجةٍ- حتى تطوف، والله تعالى أعلم.