Skip to content

السؤال

س٢١: ماذا تقول قبل أكل الطعام؟

Swali: 21- Unasema nini kabla ya kula chakula?

الجواب

ج:«بسم الله».

فإذا نسيت في أوله فقل:

«بسم الله في أوله وآخره»

رواه أبو داود والترمذي.

Jawabu: "Bismillahi"

Basi ukisahau kuisema mwanzoni mwake basi sema:

"Bismillaahi fii awwalihi wa aakhirihi" Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwanzoni mwake na mwishoni mwake.

Imepokelewa na Abudaud na Tirmidhiy.