Skip to content

السؤال

س٢٢: ماذا تقول عند الفراغ من الطعام؟

Swali: 22- Unasema nini wakati wa kumaliza kula chakula?

الجواب

ج:«الحمد لله الذي أطعمني هذا، ورزقنيه، من غير حول مني ولا قوة»

رواه أبو داود وابن ماجة وغيرهما.

Jawabu: "Alhamdulillaahil ladhi atwa'amanii hadhaa warazaqaniihi min ghairi haulin minni walaa quwwatin". Kila sifa njema zinamstahiki Mwenyezi Mungu aliyenilisha chakula hiki na akaniruzuku si kwa ujanja wangu wala si kwa nguvu yangu"

Kaipokea Abuudaudi na bin Maajah na wengineo.