Skip to content

السؤال

س٢٣: ما هو دعاء الضيف لصاحب الطعام؟

Swali: 23- Ni ipi dua ya mgeni kwa mwenyeji aliyemuandalia chakula?

الجواب

ج:«اللـهم بـارك لهـم فيما رزقتهـم، واغـفر لهم وارحمهم»

رواه مسلم.

Jawabu: "Allaahumma baarik lahum fii maa razaqtahum, waghfir lahum warhamhum" Ewe Mwenyezi Mungu wabariki katika vile ulivyowaruzuku, na uwasamehe na uwahurumie.

Imepokelewa na Imamu Muslim