Skip to content

السؤال

س4: أكمل حديث «أكمل المؤمنين إيمانًا ...»، واذكر بعض فوائده.

Swali 4-: kamilisha hadithi: "Muumini mwenye imani kamili kuliko wote" na eleza baadhi ya faida zake.

الجواب

ج:عن أبي هريرة رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم:

«أكمل المؤمنين إيمانًا: أحسنهم خلقًا»

رواه الترمذي وقال: "حديث حسن صحيح".

فوائد من الحديث:

  1. الحث على حسن الخلق.
  2. وأن كمال الخلق من كمال الإيمان.
  3. وأن الإيمان يزيد وينقص.

Jawabu: Kutoka kwa Abuu Huraira Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, amesema: amesema: Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake:

"Muumini aliyekamilika kiimani ni yule mwenye tabia nzuri zaidi kuliko wengine".

Kaipokea Tirmidhiy na akasema: Hadithi ni nzuri na ni sahihi".

Faida zinazo patikana katika hadithi

  1. Himizo la kuwa na tabia njema.
  2. Na yakwamba ukamilifu wa tabia ni katika ukamilifu wa imani.
  3. Na yakwamba imani inaongezeka na kupungua.