Atakayeshuka mahali akasema: Audhubikalimaatillaahit-taammaati min sharri maa khalaqa (Najilinda kwa maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyotimia kutokana na shari ya vile alivyoviumba) hakitomdhuru kitu mpaka aondoke mahala pake hapo
Kutoka kwa Khaula bint Hakim As-Sulamiyya, amesema: Nilimsikia Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akisema:
"Atakayeshuka mahali akasema: Audhubikalimaatillaahit-taammaati min sharri maa khalaqa (Najilinda kwa maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyotimia kutokana na shari ya vile alivyoviumba) hakitomdhuru kitu mpaka aondoke mahala pake hapo".
«مَنْ نَزَلَ مَنْزِلًا ثُمَّ قَالَ: أَعُوذُ بِكَلِمَاتِ اللهِ التَّامَّاتِ مِنْ شَرِّ مَا خَلَقَ، لَمْ يَضُرَّهُ شَيْءٌ حَتَّى يَرْتَحِلَ مِنْ مَنْزِلِهِ ذَلِكَ».
Anauelekeza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- umma wake katika kushikamana na kukimbilia kwenye tija ambako hutoeka kila chenye kuogofya anachokiogopa mwanadamu pale anaposhuka mahali katika ardhi, sawa sawa awe safarini au matembezini na kwingineko: Kuwa ajikabidhi na atake ulinzi kupitia maneno ya Allah yaliyotimia katika fadhila zake na baraka zake na manufaa yake, yaliyosalimika na kila aibu na mapungufu, kutokana na shari ya kila kiumbe chenye shari, ili awe na amani katika mazingira yake hayo kwa muda wote atakaokuwa hapo kutokana na kila chenye kuudhi.
...:
Kutaka ulinzi ni ibada, nako ni kule kunakokuwa kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu au kwa majina yake na sifa zake.
kufaa kutaka ulinzi kupitia majina ya Mwenyezi Mungu, kwa sababu majina hayo ni sifa miongoni mwa sifa za Mwenyezi Mungu Mtukufu, kinyume na kutaka ulinzi kwa kiumbe yeyote kwani hii ni shirki.
Ubora wa dua hii ni baraka zake.
Kujikinga kupitia adhkari ni sababu ya mja kulindwa na shari.
Kubatilika kutaka ulinzi kutoka kwa asiyekuwa Allah miongoni mwa Majini na wachawi na matapeli na wengineo.
Sheria ya dua hii kusomwa na mwenye kushuka mahali nyumbani au safarini.
Swahiih Muslim (4/ 2080) (2708).
Zaidi (9)
مجموع الفتاوى (6/ 230).
القول المفيد على كتاب التوحيد.
لابن عثيمين (1/ 253).
الملخص في شرح كتاب التوحيد.
لصالح الفوزان (ص111).
الجديد في شرح كتاب التوحيد.
لمحمد القرعاوي (ص122).
معجم اللغة العربية المعاصرة.
لأحمد مختار (2/ 869).
Imenukuliwa katika vitabu
27 Vitabu- Adabu za safari na hukumu zake"A'udhu bikalimaatillaahit-taammaati min sharri maa khalaqa (Ninajilinda kwa maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyokamilika, kutokana na shari ya alichokiumba."(21)
- adhkaari ambazo husemwa Asubuhi na Jioni.Ninajikinga kwa maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyo timia kutokana na shari alizo ziumba.
- Hisnu Al-Muslim Kutoka Katika Nyiradi Za Kitabu Na Sunnaحصن المسلم"Ninajikinga kwa maneno makamilifu ya Mwenyezi Mungu kutokana na shari ya vile alivyoviumba."
- Hisnu Al-Muslim Kutoka Katika Nyiradi Za Kitabu Na Sunnaحصن المسلمAuudhu bikalimaati llaahit taammaati min sharri maa khalak
- Hisnu Al-Muslim Kutoka Katika Nyiradi Za Kitabu Na Sunnaحصن المسلم“Ninajikinga kwa maneno makamilifu ya Mwenyezi Mungu kutokana na shari ya vile alivyoviumba.” [262]
- Hisnu Al-Muslim Kutoka Katika Nyiradi Za Kitabu Na Sunnaحصن المسلمAuudhu bikalimaatil laahit taammaati min sharri maa khalaq
- Imani aliyowafaradhishia Mwenyezi Mungu waja wake kutoka katika yale yaliyokuja katika Qur'ani Tukufu na Sunna za Mtume."Yeyote atakayeshuka mahali popote, kisha akasema, 'Ninajikinga kwa maneno kamili ya Mwenyezi Mungu kutokana na shari ya kile alichoumba, basi hakuna chochote kitakachomdhuru, mpaka aondoke mahali hapo."
- Imani aliyowafaradhishia Mwenyezi Mungu waja wake kutoka katika yale yaliyokuja katika Qur'ani Tukufu na Sunna za Mtume."A'udhu bikalimatillahit-tammati min sharri ma khalaqa (Ninajilinda kwa maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyotimia kutokana na shari ya alichokiumba)." basi hakitamdhuri kitu chochote mpaka aondoke kutoka mahali pake hapo."
Zaidi (19)
- آداب السفر وأحكامهآداب السفر وأحكامه (للحرمين)«أَعُوذُ بِكَلِمَاتِ اللَّهِ التَّامَّاتِ مِنْ شَرِّ مَا خَلَقَ» [25]؛
- الدعاء ويليه العلاج بالرقى من الكتاب والسنةالرقى من الكتاب والسنة«أَعُوذُ بِكَلِمَاتِ اللَّهِ التَّامَّاتِ مِنْ شَرِّ مَا خَلَقَ»[٢٧].
- الذكر والدعاء والعلاج بالرقي من الكتاب والسنة"من نزل منزلًا ثم قال: أعوذ بكلمات الله التامات من شر ما خلق، لم يضره شيء حتى يرتحل من منزلِهِ ذلك".
- الذكر والدعاء والعلاج بالرقي من الكتاب والسنة" من نزل منزلاً ثم قال: أعوذ بكلمات الله التامات من شر ما خلق، لم يضره شيء حتى يرتحل من منزله ذلك" .
- الذكر والدعاء والعلاج بالرقي من الكتاب والسنة"أعوذ بكلمات الله التامات من شر ما خلق" .
- المختصر في آداب السفر وصفة الحج والعمرة وآداب الزيارة والأدعية الجامعة مع ملحق بالفتاوى والمخالفات1- آداب السفر وأحكامه (للحرمين)«أَعُوذُ بِكَلِمَاتِ اللَّهِ التَّامَّاتِ مِنْ شَرِّ مَا خَلَقَ» [25]؛
- المنهج لمريد العمرة والحج«أَعُوذُ بِكَلِمَاتِ اللَّهِ التَّامَّاتِ مِنْ شَرِّ مَا خَلَقَ»[4].
- تحفة الأخيار تحفة الأخيار (ببيان جملة نافعة مما ورد في الكتاب والسنة من الأدعية والأذكار)«مَنْ نَزَلَ مَنْزِلًا ثُمَّ قَالَ: أَعُوذُ بِكَلِمَاتِ اللهِ التَّامَّاتِ مِنْ شَرِّ مَا خَلَقَ، لَمْ يَضُرَّهُ شَيْءٌ، حَتَّى يَرْتَحِلَ مِنْ مَنْزِلِهِ ذَلِكَ» [52].
- تطبيق القرآن والأذكارالرقية الشرعية«أَعُوذُ بِكَلِمَاتِ اللَّهِ التَّامَّاتِ مِنْ شَرِّ مَا خَلَقَ»[6].
- حراسة التوحيدحكم السحر والكهانة وما يتعلق بها«مَن نَزَلَ مَنْزِلًا فَقالَ: أَعُوذُ بِكَلِمَاتِ اللهِ التَّامَّاتِ مِن شَرِّ ما خَلَقَ، لَمْ يَضُرَّهُ شَيءٌ حتَّى يَرْتَحِلَ مِن مَنْزِلِهِ ذَلِكَ».
- حكم السحر والكهانة(من نزل منزلاً فقال: أعوذ بكلمات الله التامات من شر ما خلق لم يضره شيء حتى يرتحل من منزله ذلك).
- رسالة في الأذكار1«مَنْ نَزَلَ مَنْزِلًا ثُمَّ قَالَ: أَعُوذُ بِكَلِمَاتِ اللهِ التَّامَّاتِ مِنْ شَرِّ مَا خَلَقَ، لَمْ يَضُرَّهُ شَيْءٌ حَتَّى يَرْتَحِلَ مِنْ مَنْزِلِهِ ذَلِكَ».
- رياض الصالحينرياض الصالحين مع فوائد وهدايات - 5«مَنْ نَزَلَ مَنزِلاً ثمَّ قال: أَعُوذُ بِكَلِمَاتِ اللهِ التَّامَّاتِ مِنْ شَرِّ مَا خَلَقَ، لَمْ يَضُرَّهُ شَيْءٌ حَتَّىٰ يَرْتَحِلَ مِنْ مَنزِلهِ ذلِكَ».
- عقيدة الأئمة الأربعة«مَنْ نَزَلَ مَنْزِلًا فَقَالَ: أَعُوذُ بِكَلِمَاتِ اللهِ التَّامَّاتِ مِنْ شَرِّ مَا خَلَقَ، لَمْ يَضُرَّهُ شَيْءٌ حَتَّى يَرْحَلَ مِنْ مَنْزِلِهِ ذَلِكَ»
- عقيدة الأئمة الأربعة«أَعُوذُ بِكَلِمَاتِ اللَّهِ التَّامَّاتِ مِنْ شَرِّ مَا خَلَقَ»،
- فتاوى المرضىفتاوى المرضى «من نزل منزلًا ثم قال: أعوذ بكلمات الله التامات من شر ما خلق، لم يضره شيء حتى يرتحل من منزله ذلك»
- فتاوى المرضىفتاوى المرضى «أما لو قلتَ حين أمسيت: أعوذ بكلمات الله التامات من شر ما خلق، لم تضرك»
- فتاوى المرضىفتاوى المرضى «من نزل منزلًا ثم قال: أعوذ بكلمات الله التامات من شر ما خلق، لم يضره شيء حتى يرتحل من منزله ذلك»
- مختصر نظـرات حول اضطرابات النفس وعلاجها من منظور شرعي«بكلماتِ الله التَّامَّات مِنْ شرِّ مَا خَلَقَ»[192].