Skip to content
Ni dini ya maumbile na akili na furaha

Ni dini ya maumbile na akili na furaha

Uislamu Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema Mwenye kurehemu. Je, umewahi kujiuliza: Ni nani aliyeumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo miongoni mwa viumbe vikubwa? Na ni nani aliyetengeneza mfumo huu nyeti wenye ufanisi mkubwa ndani yake? Ulimwengu huu mkubwa umepangwaje na kuwa thabiti pamoja na mifumo yake inayoudhibiti kwa ustadi kwa miaka mingi? Je, ulimwengu huu ulijiumba wenyewe? Au ulizuka pasina kutokea mahali? Au umepatikana ghafla?

0%
Font size