Skip to content
الإسلام طريق السعادة

الإسلام طريق السعادة

Je umewahi kujiuliza ni nani aliyekuumba? Ni yapi malengo ya maisha haya? Kipi kitatokea baada ya kifo? Hivi inaingia akilini Mwenyezi Mungu atuumbe bila kutuweka wazi ni yapi malengo na makusudio ya kutuumba? Hakika Mwenyezi Mungu amewatuma mitume na akawateremshia vitabu kwenda kwa viumbe ili tutambue Yeye ni nani, na tufahamu vipi tumuabudu. Hakika Mwenyezi Mungu ametuweka wazi kuwa maisha haya ni mtihani, na yule atakayemuabudu Yeye peke yake asiye na mshirika na akafanya matendo mazuri Mwenyezi Mungu atamlipa pepo siku ya mwisho.

0%
Font size